Tafadhali usipakue Tor kutoka vyanzo vingine.
Tor Browser itazuia vifaa vya kuunganisha vya nje vya kivinjari kama vile Flash, RealPlayer, QuickTime, na nyingine: zinawezza kutumiwa isivyo stahili katika kutambua anwani zako za IP.
Hatushauri kusakinisha maongezo ya ziada au vifaa vya kuweka na kutoa katika Tor Browser
Maongezo yanaweza kukwepa Tor huleta faragha. Tor Browser huwa kabisa na mfumo wa HTTPS-Only, NoScript, ili kulinda faragha na usalama wako.